Leo niliamua kuangalia mkutano wa wqna wa lumumba wakiwa singida wameniboa sana, mambo ya kuongea ni mengi ila sera zenu ni lowasa, ukawa, udini wa tabora, hii inaleta picha gani katika ulimwengu wa wastaarabu. Komaeni or else mnapigwa asubuhi kabla ya ibada au misa ya pili kuisha.
Hii video ni ya lini? Hata kama ni ya leo au ya kesho sidhani kama kuna mantinki ya kuisabambaza kiasi hik na kuishikia bango mpaka kuwa ni habari katika taarifa za habari. Kama huna sera bora kukaa kumya. Sera za udini au crip hizo zipo nyingi na watu wamekaa kimya nazo kisa katoa edo leo ndo...
Me pia nmeshangazwa na janu nawe kushindwa kushangaa kwa nni kati ya watanzania kumi wote kumi ni masikini unaleta mbwembwe za magazeti, pia if it wishes kwa nini ushangae kuwa wewe top 5 za wateuliwa wa ccm zaidi ya makada wote wa ccm. Haya ndo maajabu ya tz
Swax leo ful raha.tumeisibitishia nchi kuwa changes, flood and time awaits no body. Dr utasubiri sana kama vp unda chama chako si tupo mkutano na majinja on way to dar utusubiri mtuuuu
Kama pspf hamna fedha bora mnafunguka kuliko mteja anakuja ofisini nyie mnadhani amekuja kuomba hii michango better mngeiacha mtu ale nayo ujana na si kama hv. Watu wana shida nanyi mnazingua.ajira zenyewe mpo wenyewe ni shida mtu anakuja kuuliza mnahisi kaja ombaomba kuomba. Si kila siku ni...
Ipo haja ya kijitoa katika mfuko huu na shida bado wanawaaminisha watu kuwa wapo vzr mtumishi anastaafu zaidi ya miezi sita nyie mnaleta mbwembwe tu.mnadhan mtu anaidhije? as if mafao ni mkopo to be granted by mess. This is shem.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.