Recent content by Milale

  1. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    SK2016, Asante sana kwa ushauri wako.
  2. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    Asante kwa ushauri mkuu
  3. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    Katika maisha pesa si kitu pekee kinachoweza kukupa furaha, kuna muda mwingine unahisi jambo fulani lingefanikiwa huenda lingeongeza furaha yako maradufu.
  4. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    DAFU NA NDIMU, Hili jambo linanitesa sana natamani saaana kuona wazazi wangu wakiishi pamoja mimi nimeshasamehe ila kwa upande wa mama ukiliongelea sana utashangaa anapanga safari ya ghafla kwenda nje. Hapo na mawasiliano yatakataa kwa muda.
  5. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    Kweli kabsa ila mimi suala la kutokumaliza shule sababu ya lile sekeseke kwa sasa haliniumizi kichwa naona kama MUNGU alipanga iwe vile. sabab licha ya kutoendelea nimefanikiwa kufikia malengo yote niliyojiwekea na kuwa vile nilivyopanga niwe kipindi kile, na muda mwingine nawaza huenda...
  6. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    Asante kwa ushauri wako.
  7. Milale

    Naombeni ushauri juu ya hili tafadhali

    Habari za majukumu wanaJF. Naandika uzi huu ikiwa ni saa kumi na robo za usiku, nimewaza na kuwazua ila hili naona limenizidi uwezo na nimeshindwa kulitatua. Jambo hili sikupenda kuliweka hapa jf ila imebidi niliweke huenda nikapata msaada zaidi na kujua cha kufanya. Baba na mama walibahatika...
  8. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Asante mkuu
  9. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Tuliachana
  10. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Ukihitimu elimu ya JF lazima mtaani utambe.
  11. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Kuwachomoleaje mkuu betri
  12. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Siwezi kabsa
  13. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Kabsa hapa mimi pamekuwa msaada mkubwa
  14. Milale

    Nimemaliza chuo kikuu cha JF

    Ndio mkuu
Back
Top Bottom