Recent content by Milaba

  1. M

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Mimi naona tatizo kubwa zaidi ni pale ambapo waziri anaamua kuondoka na government sill (namaanisha mhuri wa serikali na kwenda nao nje ya nchi halafu tunadhani kuwa taifa hili bado lina usalama . Ndugu zangu kwa hili kwa kweli hii ni aibu kubwa kwa taifa hili, jk aamue moja kusuka ama kunyoa...
  2. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Jana JK alikwenda kwenye dinner ya usiku hapa kahama kwenye ukumbi wa lake house na alishindwa kuongea na pia hakusalimia .anaonekana kuchanganywa sana na labda ni kuwa ni juu ya yale majibu ya mkurugenzi wa barrick kuwa Karamagi na Kikwete ndio waliwaita wande london kusaini mkataba husika na...
Back
Top Bottom