Tapeli huyo dada; alihamishiwa Chato kama kituo kipya kwa sababu ya uvivu na utovu wa nidhamu. Akaamua kuacha kazi mwenyewe. Kama kweli alifukuzwa muombeni barua ya kufukuzwa kazi kama anayo.
TFS ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.
Hakuna kosa lolote kujenga Mwanza. Zipo taasisi zilizojenga Dar mbona?!
Relax, pambana na umasikini wa jamii inayokuzunguka.
Hiyo ni kesi au ni hukumu?! Wabongo vichwa vyetu ni hopeless kabisa.
Mahakama ndio itaamua kama kweli kuna kosa la kulipiwa fidia.
Kwa maoni yangu, mfungua kesi atashindwa vibaya sana. Kwanza sampuli za viungo hazisafirishwi kiholela kwenda nje ya nchi. Lazima upate vibali maalumu vya kufanya...
Unapenda vizuri bila gharama?
Mkeo hawezi kupewa rufaa ya kujifungua kawaida. Rufaa zote za uzazi huwa zina impending complications. Otherwise angejifungua bure kwenye Zahanati yoyote.
Watanzania kama tunataka vizuri na vidumu basi tukubali gharama na si bwerere.
Wagonjwa wengi hupelekwa...
Ni dhahiri shahiri kuhusu ubinafsi walio nao ndugu zetu waislamu dhidi ya wasio waislamu. Hoja ya dini nani aliileta? Kusema waislamu wametolewa ni sawa na kusema waislamu waliwekwa kitu ambacho sio sahihi. Kama waliajiriwa kwa coincidence pia wamehamishwa vivyo hivyo. Pia hoja ya msingi...
Kwakweli chuki ya waislamu dhidi ya dini nyingine ni kubwa sana. Mimi nina jamaa zangu kabisa, wengine wanaamua kukuambia wanachoelezwa.
Mfano kuwatenga wasio waislamu, kutowapangisha nyumba zao eti ni makafiri!
(Mfano hiyo list ya waliohamishwa UDOM inasemekana ilikuwa ndio kamati ya ujenzi...
Acheni porojo na propaganda za kidini. Nje kidogo ya eneo la UDOM kuna viwanja vingi tu, jengeni. Nunueni kiwanja mjenge. Tatizo liko wapi? Kwani lazima msikiti uwe ndani ya UDOM ndio ulete maana? Mbona wanafunza huenda nje ya UDOM kula bila malalamiko? Kusali tu ndio iwe hoja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.