Recent content by mikejones

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua smartphone ya Tecno

    Tecno h6 ipo silver color used for 3months ina waranty na receipts zake. Pm kwa mawasiliano
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni mto gani?

    Mto supa banko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, huyu ndio moyo wangu uliompenda

    Banana zoro alisha imba mapenz mabaya. Dada sepa hamna penzi hapo. Utaumia miaka yote. Sikio la kufa hilo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Njoo pm niambie ni gari aina gan nikupe details nini cha kufanya. Haina shida kuagiza bila inspection ingawa ni kinyume cha sheria..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaolipia magari tra kuweni makini sana...utapeli njenje

    Yaan puf dady mwenyewe akikusikia hakushitaki bali ataku zygote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnaolipia magari tra kuweni makini sana...utapeli njenje

    Kama kapita bata
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Passo 2008 990cc ushur 2.8m, shipping line $78, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Passo 2006 1300cc ushur 3.4m, shipping line $78, port charges 250,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Passo 2006 990cc ushur 3.1m, shipping line $78, port chargea 250,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    bavi kwa sasa kupata exemption inatakiwa ununue gari lisilo zidi miaka saba tangu kutengenezwa kwake. Kwa maana hiyo unatakiwa kuagiza gari ya mwaka 2007
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Invoice ni lazima kaka. Hiyo ndio trade contract kati yako na muuzaji. Lazima iwepo mkuu. Baraka ziwe kwako pia chief.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tecno H6

    170k weka mezani nikupe mzigo. Silver color used for 3months
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    1998 coaster ushuru 10,514,305.00, shipping line $110, port charges 970,000.00, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Coz kuna model hb, bb na zina ushuru tofauti kidogo specify zaid mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    sithole HZB50 ushuru 17,432,235.00, shipping line $135, port charges 1.6m, plate number 38,000.00, agency fee 250,000.00
Back
Top Bottom