Muda wa kustaafu kwa lazima ni miaka 60, baada ya hapo mtu anaweza kupema mkataba akafanya kazi ya taaluma yake, in this case, ukufunzi, na sio utawala, siku hizi imekuwa kawaida sheria kupindishwa na wakuu kwa manufaa yao na watu wao wa karibu!!
Sidhani kama kuvitoa hivyo vipande vya mabomu itamfanya huyo dada atembee tena, uti wa mgongo ukikatika kutembea ndiyo basi tena, cha msingi ni kupewa fidia japo haitamrudishia maisha yake ya awali, inasikitisha hapo hakuna cha kufanya, iwe india, ulaya ama marekani zaidi ya kumwezesha kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.