Dah..sijui kama hali hii ipo kila mahali..ila jiji la songea limesimama....maduka yamefungwa...hakuna usafiri wa daladala..masoko ndo usiseme...ama kweli huu uchaguzi ni hatareeeeee
Kuhusu Pc kupiga shoti jaribu kucheki adapter yako.... Angalia kama ni ya pin 3 check pin ya earth kama inafanya kazi vizuri...
Ukiona hakuna mabadiliko mtafte IT yeyote aliye karibu nawe kwa ushauri zaidi na sio mafundi wa mtaani
Kuhusu pc ku-stack kuna mambo mengi yanayoweza kuchangia
1. Temporary files
2. Virus
3. Cookies kwenye browser
4. Low memory space
4. Low processor speed
5. Automatic Startup programs when windows start
6. Antivirus kuwa out dated e.t.c
So make sure una deal na hayo mambo yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.