Recent content by Mike Focus

  1. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Profesa Shivji ashangazwa na ripoti mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja maeneo yaliyopwaya kwenye ripoti hiyo!

    Mimi ni CCM lakini kwa yanayoendelea nchini siko tayari kupiga kura mwaka huu naona wachache ndio wanafaidi keki ya Taifa Vijana tuko mtaani tumesoma hatuna ajira lakini nafasi wanajiweka wao mpaka wastaafu wanaotakiwa kupumzika na wajukuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

    Mimi ni CCM lakini kwa yanayoendelea nchini siko tayari kupiga kura mwaka huu naona wachache ndio wanafaidi keki ya Taifa Vijana tuko mtaani tumesoma hatuna ajira lakini nafasi wanajiweka wao mpaka wastaafu wanaotakiwa kupumzika na wajukuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru

    Baada ya miaka 3 Mtakuta nchi imeshauzwa yote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Tundu Lissu ni nini?

    jiwe ana roho chafu kama sura yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya kukataza Ushoga/Usagaji ni IPI? Je, Nyeti za MTU ni Nyara ya serikali?

    ushoga huleta laana kwenya nchi.Sodoma na Gomora ziliteketezwa kwa moto sababu ya ushoga.mungu hapendi ujinga kila kiungo aliumba kwa kazi maalum
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya kukataza Ushoga/Usagaji ni IPI? Je, Nyeti za MTU ni Nyara ya serikali?

    wewe ni punga kweli.hujui kuwa ushoga huleta laana mwenye.Dodoma na Gomora ziliteketezwa kwa moto kwasababu ya ushoga.Mungu hapendi ushoga kabisa kila kiungo aliumba kwa makusudi yake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    angalau Dr Charles kitima kazungumzia kuhusu wakuu WA mikoa na wilaya wanavyonyanyasa wananchi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola; Ondoa siasa kuruhusu safari za usiku jiulize tena

    mbona Kenya mabasi yanasafiri usiku lakini ajali hakuna ni utaratibu mzuri umewekwa na wamiliki wa mabasi ya usiku NA kunakuwa na madereva wawili.mmoja anaendesha nusu ya safari mwingine anamalizia.je Tanzania tajiri anaweza ajiri madereva wawili usiku ama wanaangalia faida tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF na maisha ya wastaafu, kwanini ucheleweshwaji wa malipo?

    mheshimiwa Rais asikie kilio cha wastaafu awalipe kiinua mgongo ( mafao) yao wanataabika sana Mtaani.chonde chonde Rais
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Pascal umevimbiwa makande.utumbo gani Huu umeandika ama na wewe umeahidiwa bando na jiwe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

    Pole Sana Asigwa Kwa Tatizo La Kupiga Punyeto Muda Mrefu, Hatimaye Umepata Ufumbuzi Na Kuwashauri Wapiga Punyeto Wote
Back
Top Bottom