Recent content by Mikaeli Mkulima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya kuku aina ya kanga(chotara)

    Asante kwa taarifa ndugu Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu Vinauzwa

    kweli ndugu yangu, wakati mwingine unaweza usipate kabisa..kuna jirani yetu alilima ekari 10, akapata gunia 5!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu Vinauzwa

    Tunalima ndugu...Red Bombay vinakaa miezi miwili tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu Vinauzwa

    Kutegemea na matunzo, gunia 1 hadi 110.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu Vinauzwa

    Wakati wa upandaji kutegemea na aina ya udongo, baada ya hapo umwagiliaji unahitaji umakini sana, maji hayapaswi kubaki katika vijaruba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu Vinauzwa

    Wakuu habarini za leo...tunauza vitunguu, Red Bombay vizuri tu, vipo ghalani barabarani kabisa; jirani na Wami Dakawa-Mvomero, Morogoro. 0715 389 633 au 0784 389 633 gonga link hii kwa maelezo zaidi... vitunguu na mpunga - kilimo101
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    vitunguu na mpunga - kilimo101
Back
Top Bottom