Recent content by mijey

  1. mijey

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo limenisumbua Sasa ni miezi miwili imepita

    Asante kwa ushauri wako ngoja nikapime nipate uhakika na nijue shida Ni ipi pia ninashukuru kwa kunijulisha unaweza kuwa ugonjwa upi?
  2. mijey

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo limenisumbua Sasa ni miezi miwili imepita

    Duuu[emoji28]
  3. mijey

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari zenu wakuu Mimi nasumbuliwa na tumbo Ni miezi miwili na nilienda hospitali lakini bado nasumbuliwa na tumbo sijajua labda Ni usugu wa magonjwa au Ni kawaida dalili nazo pata tumbo kuwa na joto hata nikugusa nahisi joto limeongezeka tumboni au hatanisipo gusa hisia zinanijulisha tumbo...
  4. mijey

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo limenisumbua Sasa ni miezi miwili imepita

    Habari zenu wakuu Mimi nimesumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda wa miezi miwili na dalili nazo pata tumbo kuunguruma,tumbo nikiligusa linakuwa na joto la kuzidi hata nisipo ligusa joto nahisi limeongezeka tumboni pia na maumivu,choo kidogo Mara kigumu Mara Cha kawaida,nikinywa maji kukojoa...
  5. mijey

    JamiiForums Tanzania Biashara zipo changamoto ni mtaji tu

    Jamani Mimi ninako ishi nimeona biashara nyingi lakini nikafuatilia biashara ya kujumlisha vinywaji nikaona inafaida pia shida Ni mtaji tu kwaiyo yeyote mwenye mtaji ambaye amekosa biashara ya kufanya achunguze biashara hiyo Kama ita mfaa aifanye Kama haita mfaa aachane nayo Cha kwanza kumbuka...
  6. mijey

    JamiiForums Tanzania Kwa Shilingi milioni 5 mtu anaweza akafanya biashara gani?

    ] Wewe unapaswa uchunguze mwenyewe kwanza Kabla ya yote. Mazingira uliopo biashara gani inafaa ambayo ipo au haipo kwenye mazingira yako? Eneo gani zuri la biashara utakayo chagua? Biashara uliochagua mtaji wake unaendana na pesa yako? Bidhaa utakayo weka itakuwa na wateja? Biashara iyo...
  7. mijey

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, kiumbe anayefanana na binadamu, ameendelea kubakia hivyo hivyo mpaka leo

    Sio vyema watakimbia wangapi na Nani atakubali kuwapokea cha kufanya Ni kupambana japo Kuna wengine wana maarifa kidogo ndio wanao jaribu kakatisha tamaa wengine mbona Kenya wanaushirikiano sisi tz tunashida gani
  8. mijey

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, kiumbe anayefanana na binadamu, ameendelea kubakia hivyo hivyo mpaka leo

    Hapa ajasemea chama Fulani chenye akili Ila anataka wote tujitambue lakini wewe umeshindwa kuelewa hoja yake kubwa Ni ipi uo Ni uzembe mtu hajasemea chama kipi chenye akili Bali amesemea uzembe wa kila mtu alafu wewe unaleta chadema uko sawa kiakili wewe au ccm ndio inakufundisha ivo kuteitete...
  9. mijey

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vitu ambavyo wengi hatuvifahamu

    Buibui uyo anaitwa je na Yuko je usije fanya watu walioko Brazil wajichukulie buibui yeyote yule
  10. mijey

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vitu ambavyo wengi hatuvifahamu

    Umejuaje au alikupa
  11. mijey

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hapa 2025 wananchi tupiganie katiba mpya maana saivi watu wengi awaelewi wako kwenye Hali gani wengine ukijalibu kuwaelekeza wanakuona wewe ndio unahila sijui Tanzania inawatu walio kosa maarifa kiasi gani wakati mambo yanaonekana hadhalani hata hayafichwi utakuta unatoa maoni mkoa fulani...
  12. mijey

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Unajua Nini mama amesha onesha Nia ya kugombea 2025 ndio maana makosa mengi ya viongozi anafumbia macho ili viongozi wa ccm wenye nguvu kuliko yeye pia wanao husika na ufisadi waweze mpitishe Kama kawaida yao hata kwa kuiba kura hapa wananchi tujitahidi kupigania katiba mpya maana nasikia ata...
Back
Top Bottom