Recent content by migunda sagwa

  1. M

    Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Uko sahihi Kwa kiasi kikubwa sana. Lakini naomba nikukumbushe kitu hapa. Mzungu anaratibu mambo haya Kwa MAARIFA ya juu sana na Huwa hafanyi mambo yake KICHIZI. Vita hii unaishuhudia Leo lakini pandikizi za mchakato huu zina miaka mingi zaidi. Jina lako linajieleza Chizi Maarifa .
  2. M

    How to use JamiiForums effectively

    tangia lini haki ikapotea? nasikitika kuwa wanajamii wengi wamekuwa wakikata tamaa katika mambo ya msingi kabisa eti kwa kuogopa kutumia muda yaani watu wengi waita ni kupoteza muda. mi ninasema kuwa ni hatari sana kukata tamaa katika maisha yako maana utakuwa unakinyima haki kizazi chako cha...
Back
Top Bottom