Sijui inaitwaje lkn matukio fulani yamewapa mwanya watu.CCM ilihakiki wanachama wake na ktk zoezi hilo wanachama walitakiwa kuja na kadi za kupigia kura.Kosa dogo limezua jambo
Karibu sana lakini pia pole sana.Nakushauri utafakari sana na hasa ikiwa wewe mwenyewe si mtaalamu wa maabara.Shida kubwa ni kumpata mfanyakazi mwamifu,mwadilifu na aliye na vision.Unamuajiri mtu kwa mkataba wa mwaka mmoja lakin haangalii mkataba kila siku anaomba kazi kwingine.Shida kubwa ni...
Hata mimi nilikuwa naamini hivyo lakini nimeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Viongozi wameshinda lakini mkutano wa kujitambulisha hakuna watu
Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe...
Mbowe alishaonyesha kila dalili ya kung'atuka.Gia imebadilika baada ya kauli tata za TL.
TL katoka Ulaya na wala hakufika ofisi za chams kwanza tuhuma kuwa hakuna maandalizi ya uchaguzi.
TL kama makamu Mwenyekiti,mwanasheria na mafia chams katoa tuhuma za rushes ambazo aidha angeacha mfumo wa...
Nape alitukanwa, akaandamwa na pengine ikawa sababu ya kupoteza Uwaziri lakini kwa kinachoendelea kwa sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa; Nape alikuwa sahihi kabisa.
Amekosa Uwaziri lakini kauli yake ya ukweli imemsogeza karibu na Muumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.