Recent content by Migato

  1. M

    Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Mleta uzi na wengi waliochangia kushabikia eti wachaga wana akili ni kujitia ujuha na kushindwa kutumia akili hata kidogo.
  2. M

    Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

    Ili ujue kuwa anatambulika kuwa Msukuma kumbuka JK alimwambia AKANDAMIZE KIDOGO wakati wa kuomba kura kwa wanaccm wenzake.
  3. M

    Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

    Hahaaa... watu kumbe hawapendi maendeleo ya wengine. Kabla ya Uraisi alikuwa Msukuma baada ya kuanza mbio anakuwa mzinza, msubi etc mwishoe mtasema mchaga. Imba kwanza "Aliselema Alija" ndo ujue hicho kitu ni kutoka SUKUMA LAND PURE. Acheni wivu vijana.
  4. M

    Arusha na CCM

    Hata wasipopiga kura watu wa kaskazini ushindi uko palepale. Kwani kaskazini ndio nn? Nchi hii ni yetu sote. Hakuna mwenye hati miliki. Waache ubinafsi mkubwa uliokithiri mithili ya kutaka kila kitu chao. Tumechoka na tabia za hovyo za ubinafsi, ulafi na ubaguzi wao kwa watu wa sehemu zingine...
  5. M

    Uchaguzi 2015. Tusiwe kama watoto wadogo wa kupewa pipi na kusahau yaliyopita.

    Watu wana Wivu sana. Magufuli hana mpinzani kny urais.
  6. M

    Kuhesabu kura 2500 za wajumbe wa CCM kukesha!!

    Magufuli ni Jembe hakuna wa mfano wake awe Lowasa ama Membe. Wataisoma Namba.
  7. M

    Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Jembe Magufuli linaingia Ikulu kilaini.
  8. M

    Wataalamu wa Kuchimba Visima vya maji baridi- Dar.

    Wadau natafuta wataalamu wa kupima na kuchimba visima vya maji baridi ambao wako Dsm. Kama wapo naomba watume namba zao hapa nitawatafuta. Ahsante.
Back
Top Bottom