Recent content by miga

  1. M

    Nyumba ya gharama nafuu - Small , simple but beautiful

    hii ni UTOPIAN...wazo zuri lkn hakutakuwa na utekelezaji.ramani ndo hatua ya kuelekea utekelezaji
  2. M

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    msemaji wa vp huyo?sura yenyewe anaonekana mlevi tu.halafu nna shaka alitokea jeshi la joseph kony.idiot
  3. M

    Mrema, Mbatia, Maalim Seif nanyie mnajiita wapinzani?

    nchi haina upinzani.hakuna mfumo unaoeleweka hapa.ccm vibaka,chadema,cuf,nccr kwa ujumla ni mbwa waoga,ama mbwa koko!hakuna anayeweza kumzuia kibaka kuiba!wenye mali ambao ni wananchi wamelala fofofo!mbwa koko wanabweka nje,lkn hakuna msaada!kibaka anakwapua kwa uhuru!
  4. M

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    kama hao ndo marais,basi bora kuomba odinga aje atuongoze
  5. M

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    Adui muda!muda ufke aende.tangu aanze uongoz,alipendwa kwa asilimia 80,alichukiwa na asilimia 20.sasa hv the opposite is true.
  6. M

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    watangazaji co watoa burudan kama unavowataja twanga pepeta.hao ni watu wanaotakiwa kutoa hoja,co kuleta sanaa.naona umetaja sanaa za kina Dimond.ni tofaut kabisa ktk hili.hyo ni fani ya watu wasomi!huwez kufananisha Kaole na UDSM!
  7. M

    Kashilila wacha kuwadhalilisha wanawake kijinsia!!!

    Hapa mtoa hoja hajakosea sn.katika kutafuta udhaifu wa hoja ya m2,c lazma uwe na point moja.point ya kudhalilisha wanawake ni point nzr tu,whether ina nguvu ndogo au kubwa.ila kikubwa nionavyo,ni mheshimiwa kuongea upuuz m2pu katka kufikisha hoja ya kutorusha matangazo ya bunge.huwez kuongelea...
  8. M

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Hao watangazaj uelewa wao ni mdogo sana.sijajua CV zao,lkn inaonesha pass-mark zao zpo chini sn,ila kwa vle Mungu kawapa uwezo wa kuongea,kwa maana co mabubu,ndo wanajiropokea. Nlikuwa napenda sn kuickilza radio hyo kila nkienda job,na-tune station hyo.kwa sasa,completely cwez ckiliza tangu...
  9. M

    Hukumu ya ubunge Sumbawanga

    Hukumu ilishasomwa.2nasubir tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi
Back
Top Bottom