Katika sekta ya mifugo, changamoto kubwa si uzalishaji pekee. Mojawapo ya changamoto zinazowakabili wafugaji ni upatikanaji wa soko la uhakika na lenye bei inayolingana na thamani ya mifugo yao.
Mfugaji anaweza kutumia miezi au miaka kufuga ng'ombe, kuku, mbuzi au nguruwe, lakini anapofika...
Tukiachana na hayo. Hivi zile meter janja zimefikia hatua gani. Bado ziko kwenye majaribio dar tu au mpaka katavi zipo.
Nikinunua hiyo meter janja nakuipeleka Mtwara itasoma?
Mafundi walioko nje ya dar wanaweza zifunga?
Rafiki unaleta utani sasa. Kwamba wewe huna ndugu,rafiki,mzazi,jirani mfugaji na hawezi kukopesheka?. Unafikiri tunaongelea makampuni makubwa ambayo hata benki zinawaomba wakope?.
Kwa kukusaidia makampuni ambayo yashajenga mnyororo wa thamani kama hayo ni rahisi sana. Hapa tunaongelea wafugaji...
Wafugaji wengi wana mifugo yenye thamani ya mamilioni ya shilingi, lakini wanapokwenda benki kuomba mikopo wanakutana na vikwazo.
Sababu kubwa ni kwamba ufugaji mwingi bado hauna kumbukumbu rasmi za mapato, matumizi, uzalishaji na historia ya biashara. Pia, benki huona hatari ya magonjwa, vifo...
ukweli mchungu: kwa nini walaji wanapenda kuku wa kienyeji wa kujitafutia?
Kuna ukweli mmoja katika soko la kuku ambao wafugaji wanapaswa kuuelewa: kuku wa kienyeji wanaojitafutia chakula na kutembea kwa uhuru mara nyingi hupendwa zaidi na baadhi ya walaji kuliko kuku wa kienyeji wanaofugwa...
kuku wa kienyeji: je, ubora wa nyama unatokana na mbegu, chakula au mfumo wa ufugaji?
Je, kuku wa kienyeji anayelishwa chakula cha kisasa bado ni kuku wa kienyeji?
Ndiyo. Utambulisho wa kuku wa kienyeji unatokana kimsingi na asili ya mbegu yake (genetics), si aina ya chakula anachokula wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.