Recent content by midoli

  1. midoli

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habar naiwa POP. Nimesimama kazi mwezi wa 3 mpaka sasa hivi, ila kwenye akiba yangu benki nina milioni moja. Naomba wazo la biashara kulingana na kiasi cha pesa nilichokuwa nacho nimeshafikiria sana ila nimeamua nililete kwenu wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. midoli

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Asante mkuu je kwa mtaji wa laki 7 na 50 utatosha kulipia frame nakununua hizo bidhaa
  3. midoli

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habar waungwana ningependa mnishauri niko tayar kufanya biashara ya aina yeyote mana nikitu napenda kukifanya mda mrefu ila nna mtaji wa 750k nasijui nifanye biashara gani ushauri wenu kwangu ni jambo jema tafadhali....
  4. midoli

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    JAMANI MISIJAFANYA HII KAZI ILA NNARAFIKI ANGU YUPO PALE DODOMA CHUO CHA SANTI JOHN NJE KWA MWEZI LAINI YA TIGO ANAINGIZA LAKI 6 MPAKA 7 VODA LAKI 5 MPAKA 4 NA AIRTEL ANASEMA HUWA NI LAKI 4 AU 3 NA 80 ASEE HII BIASHARA NILICHOGUNDUA MAENEO YA MZUNGUKO WA WATU HASA HASA WANAFUNZI WA CHUO AU...
  5. midoli

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Ni lazima iwe na insurance. Stika ya wiki ya nenda kwa usalama inapatikana kwa vehicle mkaguzi wa vyombo vya moto. Uwe na kadi copy ama og ya gari kama copy iwe na muhuli wa tra pia uwe na leseni halali na hai Sent using Jamii Forums mobile app
  6. midoli

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    CHASHA FARMING, UBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR (MKUFUNZI) Nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa...
Back
Top Bottom