Hahahaaaaa ume feil bro hujui kujenga hoja na kutetea hoja yako plz rudi shule ccm chama cha wajinga wajinga na we ni moja wapo mmefail kwa kila seheme, Dr slaa huwezi kumlinganisha na mwana ccm yyte yule coz amecontain kila section ya uongozi n mtu anayeyatambua maisha halisi ya watz c wana ccm...
We jamaa n mpumbavu sana unapotoa post yako elezea kinagauba ili watu wakuelewa vizuri hoja yako zaid n nn na walikuwa wap na waliafikiana nn na nan na Lin
Mleta maada let's kitu chenye mantiki c lopolopo tu ulitaka akwambie kuwa anarud? Pindi anaondoka alikuambia mbn unakuwa na mawazo hasi- kichwa kama komamangaa pumbav zako leta maada yenye tija kwa jamii
Swala LA maji kwa mikoa sugu ni mojawapo na dar hili tatz n kubwa offcourse na hii inatatokana na mipango miji ya jiji letu ilikosewa toka enz na enz japo kwa kias fulan ametekeleza ahad zake kwa wana ubungo tofaut na viongoz waliopita kabla yake
Mnyika namkubali xna coz ucmamiz wake kwa viongoz waliochini yake n mzr coz maendeleo c lazma mpaka akuletee home kwako kiongz bora ni kucmamia vizr maendeleo ya wananchi na matumiz mazur ya fedha mnyika katekeleza kwa kias kikubwa ktk muda wake mchache WA uongoz ndn ya jimbo letu mwachen mnyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.