Recent content by mid 20s

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Uturuki ni kinyago cha USA so hakiwezi kumtisha hata. Airforce ya uturuki ni USA made Sasa Kuna nini apo??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?

    It's suicide for Telaviv regime. Cc:@trump
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fight For Trump! Save Amerika- Save the World!

    Yaani trump atajua kama hajui. Aliwekeza Sana kwa WAYAHUDI kuliko kwa wamarekani waliompigia kura. Sasa atavuna alichopanda.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Dhana ya mapinduzi pale Turkey ni conspiracy tu. Erdogan amefanya mapinduzi fake ili apate sababu ya kuwatesa opponents wake. Hakukuwa na mapinduzi wala nini? Ni Sawa na sep 11 kule USA ILIKUA NI PRETEXT YA KUIVAMIA MIDDLE EAST.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Uturuki ni ya pili katika NATO kwa kipi?? Labda kwa askari wengi, Ila sio kwa teknolojia wala military strength.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Ivi Kufanya advance payment ndo amenunua?? Jiulize kwa nini mpaka sasa India amestack haendelei?? Hapo alikua ana test US resolve. Sasa sanctions kwa turkey ni onyo tosha kwa India na wengine wote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Ottoman empire imepigwa Sana na russia empire. Karibia kila vita Russia alikua anamchapa ottoman empire.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Ujerumani pia kaeKewa vikwazo na USA. Fuatilia ishu ya NORD STREAM 2.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Mwambie turkey akachimbe mafuta tena kule Mediterranean coast karibu na Greek. Mbona amekimbia na ametoa meli zake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    India haja nunua S-400 na hatanunua kamwe. Na vikwazo alivyo pewa turkey ni fundisho kwa wengine ili Wasi subutu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Hivi S_400 unazani inaweza msaidia chochote uturuki zidi ya USA.??? Marekani akitaka kuchukua uturuki anachukua mchana kweupe na hakuna wa kumzuia.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Usifananishe Ottoman empire na uturuki kaka. Uturuki kama uturuki ni zaifu Sana katika medani za kivita.
  13. M

    JamiiForums Tanzania EU countries withdraw from Iran business forum over journalist’s execution

    Yaani anashoboka Sana na Iran huyu pimbi. Taarifa nyingine sjui hazioni. Naona anatamani aifute Iran katika uso wa Dunia Sema hawezi amebaki kupost utopolo huku.
  14. M

    JamiiForums Tanzania EU countries withdraw from Iran business forum over journalist’s execution

    Kama ninavomkuna mama ako sio??
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Trump administration ipo against China at all aspects, so this is out of the question.
Back
Top Bottom