Hawa wamekosa kazi za kufanya, wameshindwa kuwakamata mafisadi wa rada, richimondi, meremeta, tbs, dowansi, epa, nk,......ukiwakuta OSTERBAY DAR ambako majizi/majambazi /matajiri wakubwa wanaoiba mali ya uma kwenye miradi mikubwa ya nchi wanakoishi wanasema wanadumisha ulinzi au wako kwenye...