Recent content by micka jac

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili nalo ni muhimu!

    ahsante pia kwa kushukuru..
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili nalo ni muhimu!

    haya bhana! Basi itakuwa ktk ubongo kumekaa akili ya uzinzi..
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili nalo ni muhimu!

    swadakta
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili nalo ni muhimu!

    la kawaida lkn!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili nalo ni muhimu!

    Kama umeolewa, tulia na mumeo. Na pia, kama umeoa tulia na mkeo. Kuwa mkweli kwa mwenza wako. Kuhangaika hakuna maana kwan waweza kuja leta mtafaruku ktk familia. Mapenzi ya kweli na ya dhati ni mojawapo ya vitu muhimu vitakavyo fikisha mahusiano yenu ya kindoa mbali.. Baraka kwenu ndugu mlio...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    Kamwe sijafunzwa kudanganya wala kutapeli. Namshukuru mungu kwa hali niliyokuwa nayo japo ina changamoto kadhaa. Kwa hakika siwezi kabisa kujisingizia shida! Mwenye hii simu sikuwa najua kama naye amejisajili na jamii forums. Tafadhali naombeni mniamini wakubwa zangu. Siwezi kuwa mhuni ikiwa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    Kiukweli mmeshindwa kunielewa kwakweli. Mimi binafsi sina simu ila huwa natumia simu ya mtu ambaye ni jiran yetu. Kiukweli sikuwa nafahamu kama anatumia jamii forums au la. Nilichokifanya mimi ni baada ya kumuomba simu ni kuingia tu internet. Kiukweli sikuwa najuwa kabisa kama yeye amejiunga au...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    ndio nililipiwa direct na kukabidhiwa risiti na nimeshakamilisha usajili
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    kiasi cha shilingi elfu 20.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    nimejiandikisha tirav, nitafanya masomo 10. Namaanisha saba ya kawaida na matatu ya science.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    practicals za masomo ya biology, chemistry pamoja na physics ya kidato cha nne.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    practicals za masomo ya biology, chemistry pamoja na physics
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    ndugu hii simu sio yangu. Nilisahau kama mwenye nayo aliweka yake
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari za jioni...

    Shikamooni wakubwa zangu. Vipi hali zenu? Namshukuru mungu kwa kunijaalia uzima na mengineyo ya kheri. Mmenifadhili vyema ila nina ombi lingine ndugu zangu. Naombeni mnisaidie kiasi cha pesa ili niweze kufanyia practical ktk masomo. Kwa atakayejaaliwa naombeni sana kwani itanisaidia kumaliza...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nne tu!

    ahsante sana
Back
Top Bottom