Lusu anadanganywa...kitendo Cha kumsema JPM Vibaya ndo mwisho wake ulipoanzia.Kuna wakati mama naye alianza kudanganywa eti kumsema vibaya Marehemu...Mvuto wake Kwa wananchi ulipotea kabisa.
Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa.
KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa.
Ni kelele zisizo kuwa na impact yoyote.
Kwa ufupi,anatumika tu
Ukisoma comments za watu,unaweza dhani magufuli anachukiwa na watanzania.
Chuki dhidi ya JPM ni humu tu JF .Na humu ni kikundi Cha Watu Fulani wenye akaunti tatu tatu,wanaoshiriki kutoa shiti.
ila huwezi kusema vibaya publicly,IPO Siku mtu atapigwa jiwe Kwa kumsema Marehemu.
Hawana ujumbe Kwa wananchi utakao wafanya wawapokee km zamani.Watu wameshawashitukia kuwa ni wachumia tumbo tu na SI watetezi wa wananchi km walivyojiuza zamani kwao.
Nao madalali wa nchi hii tu.Mbowe alikuwa anafanya nini huko Kwa wazungu??
Sidhani kwani vyote hivyo vilifanywa na mzalendo JPM kupunguza mfumko wa Bei ya vyakula nchini.Hivyo wananchi wanajua kuwa yote hayo yalifanywa na MWAMBA,kuongea kinyume ni kumpinga... tayari utakuwa umekosana nao unaotegemea kura kutoka kwao.
In short ,JPM ALIFILISI KABISA HOJA ZA CDM.USALAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.