Recent content by Michelle98

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

    tusio na maex tukomenti wap!? 🤨
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu ameolewa, nifuate hatua gani nimchukue mwanangu?

    kwanza polee, maisha ndvyo yalivyo. Kwanza kabsa mtoto ana umri wa miaka mingap??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    kuna mambo hufurahsha sana......🤣
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    aki mods wananitafutia ubaya na wananch wenzangu 😔, wanabadli like kuwa dslike 😭😭😭😭. sasa hiv nitaanza kuweka 🤣 au 😍, pole mwananchi mwenzangu hata me nmeshtushwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    looh!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    kwan lengo lilikuwa n kupiga nn??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    kafanyaje tenaa🤨
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mfupi, je atazaa watoto wafupi?

    si kweli, mfano n me mama yangu n mreefu lkn me n kafuuup. urefu na ufupi s ugonjwa, kama umempenda fanya maamuz. Hakuna aliyejiumba, ushangai bab mweus mama mweus mtoto anazaliwa mweupe. Hutokea tuuu, kuna vtu s vya kuvpa umuhimu kihivyoo. oa fupii wako, watoto watatoka vle ilipangwa wawee...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemiss kupendwa sanaaaaaaa

    wanakuja kukupa muongozo........
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu ushawahi kupata mwanamke wa aina hii?

    Amen 😎
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    tatzo n kwmba kumjua anayekupenda kwa dhat n changamoto, weeng wamesalitiwa kias kwamba wamejawa na vsasi na malipiza na kuhis kila mtu n msaliti. mnaingia kwny mahusiano kama vtani, kila mtu anajihami 😪. Wanaopata tabu n wasio na hatia wny mioyo safi , nao baada ya kipnd fulani wanaharibika...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hii ni challenge au?

    tutafka tumechoka saana, 😔😔
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    na kadr sku znavyozd kwenda hali za ndoa znazd kuwa mbaaya, kias kwamba hawa ambao hawapo(hawajaingia) ktk taasis hiyo wanapatwa na mashaka juu ya maamuz wanayotaka kuyachukua.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha kwa break up, bodaboda tuwaheshimu sana

    jamaa amefanya kosa kuuubwa mnoo kuumuungasha huyo mchumba wake kwny maongez yake na huyo boda, amefanya maamuz bila kutuliza hasra. haya sasa amezalisha uadui kat ya boda na mchumba wake, hakutatua tatzo bali kaongeza tatzo.
Back
Top Bottom