Recent content by MichaelP

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la UKUTA, viongozi wa dini kutinga Ikulu

    UrohoWasa, ulisu na Umbowe utaangamiza vijana wasio na hatia tarehe 1 Sept.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari - Agosti 25, 2016

    Waendelee tu na UrohoWasa , Ulisu na Umbowe kama watafanikiwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wako kimya lakini CCM wanaunga mkono UKUTA

    Lowasa '' Ikulu si pango la walanguzi'' by Julius Nyerere
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wako kimya lakini CCM wanaunga mkono UKUTA

  5. M

    JamiiForums Tanzania Wako kimya lakini CCM wanaunga mkono UKUTA

  6. M

    JamiiForums Tanzania Wako kimya lakini CCM wanaunga mkono UKUTA

    Na Dr Tulia anawasubiri vizuri bungeni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Chama kikishindwa Uchaguzi mara 3 hugeuka cha kigaidi

    Kiboko ya watu hawa ni Dr Tulia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wako kimya lakini CCM wanaunga mkono UKUTA

    Mmekosa watu wa kuandamana mnaanza kusingizia wanaCCM wanawaunga mkono acheni uongo, kama wanaCCM wanawaunga mkono fanyeni hayo maandamano tarehe 1 sept mkione cha mtemakuni.Sisi wanaCCM tunamkubali Magufuli kazi nzuri anayofanya na ataendelea kupambana na genge la wahuni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: CCM wanateswa na "Jinamizi" langu, Mkutano wao Dodoma walinitaja mara 360

    CHADEMA HAMUWEZI KUFANIKIWA KWA HIZI SIASA ZA ULOWASA TUTAENDELEA KUMKATA TU POPOTE ATAKAPO KWENDA. NYERERE ALIMLAANI HUYU MZEE
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: CCM wanateswa na "Jinamizi" langu, Mkutano wao Dodoma walinitaja mara 360

    Lowasa alitumia fedha nyingi kuingia IKULU ikashindikana, mzimu wa Nyerere ndo unaendelea kumuandamana '' IKULU SI PANGO LA WALANGUZI LOWASA''
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, akamatwa na Polisi kwa kosa la Uchochezi

    Piga kabisa huyo na sweka ndani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Huna furaha nenda kwenye maandamano tarehe 1 Sept uchangamshwe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, akamatwa na Polisi kwa kosa la Uchochezi

    Huyo naibu Katibu mkuu CHADEMA Zanzibar asituletee vurugu huku bara kwake Zanzibar kumemshinda hana hata mbunge mmoja wa CHADEMA halafu anakuja kutuletea vurugu huku bara . Piga virungu weka ndani huyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania UKUTA wakosa waandamanaji

    Hakuna mpango hata mmoja wa CHADEMA uliwahifanikiwa labda wa kumpokea Fisadi Lowasa na kubadili gia angani ndo ulifanikiwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, akamatwa na Polisi kwa kosa la Uchochezi

    Hakuna cha maandamano hapo sisi CCM ndo tulioshinda uchaguzi kwa kupata majimbo 190, UKAWA majimbo 39. Rais wetu usirudi nyuma tunakusupport maana democrasia ya kweli inaruhusu chama kilichoshinda uchaguzi kuongoza na kufanya maamuzi ya shughuli za serikali. Wasituletee fujo hapa hawa watu...
Back
Top Bottom