Recent content by Michaeldevis

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera le Mutuz kwa kufungua TV station

    mbona mumefungua tv station ya mambo ya kiisilamu wakat nyie wanahisa wote ni wakristo au ndo mmeanza kutumia dini kupandikiza propaganda za kisiasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

    wap matumbo ww tokea kitambo c ulikuwa unaitetea clouds fm leo eti wameenda na baba yao;; poa ila boss wako ruge ubaya wake tunaujua hata kama hao mapacha wameendekeza njaa zao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    magamba wamevurugwa kwel kwel baada ya bandikizi lao kujulikana rasmi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    magamba wamekosa sera wanaanza kupotosha sera za cdm. 2015 mwisho wenu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    huyo nchemba mwehu 2 ndo kaz aliyo2mwa na magamba taira kweli kweli hil jamaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Mulugo amemaliza utata wa jina lake?

    Ila huyu waziri ni wale wale mafisad wa elimu sasa lazima wajulikane na uchunguz unahitajika
Back
Top Bottom