Recent content by Michaelchilleh

  1. Michaelchilleh

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Masaada naomba kuliza mimi sina cheti kizuri cha form four nahitaji kusoma business katika chuo cha kilimanjaro institute je nawaza kumaliza kijiungaa na digeree kwenye chuo chochote kikuu apa dar as salaam Naombeni msaada wenu ndugu zangu na ushauri
  2. Michaelchilleh

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  3. Michaelchilleh

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Masaada wa ushauli naombaa mimi nina division 4 ya 32 nina c 1 na d1 sitaki kuludia form four nahitaji chuo kisicho cha ufundi nifanyaje
Back
Top Bottom