Recent content by Michael ulilo j

  1. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania KITAMBULISHO CHA NIDA

    Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
  2. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umuhimu wa 'leaving certificate' wakati vyeti halisi unavyo

    Mfano post za Jeshi la polisi,na jeshi la uhamiaaji zilizotangazwa hivi karibu kama tarehe 05/12/2022,zimedai miongoni mwa nakala za kutuma ni pamoja na leaving certificate and academic certificates, Sasa mimi sina leaving certificates na nimetuma nakala za vyeti,hapa imekaaje?
  3. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umuhimu wa 'leaving certificate' wakati vyeti halisi unavyo

    Kuna baadhi ya kazi zinaomba utume na leaving certificate. Je, mfano sina leaving certificate alafu nina vyeti husika vya kuhitimu level hizo za elimu na nikatuma kwenye maombi nitakuwa sahihi au vipi?
  4. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu Mbeya

    Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu MbeyaJmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kama utakuwa wazijua[emoji1545]
  5. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu Mbeya

    Jmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kama utakuwa wazijui[emoji1545][emoji1545]
Back
Top Bottom