Recent content by Michael Ryuba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hostel Mzumbe ni kiasi gani?

    Naomba Kuuliza Jamani Kwa Yule Anayejua Hostel Za Chuo Kikuu Mzumbe Ni Kiasi Gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maombi yetu ni muhimu wanafunzi wa kidato cha nne

    Ee! baba wa mbinguni tunakuomba uwafanyie wepesi wadogo zetu katika mitihani yao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sala:Mikopo batch 2

    Eee! Baba Wa Mbinguni Tusaidie Tupate Mkopo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliochaguliwa mzumbe

    Ata Mimi Imekubali Namshukuru Mungu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wote mnaoanza mwaka wa kwanza, nawakumbusha haya machache

    Asanteni Sana Wadau Kwa Ushauri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Admission za vyuo mwaka huu ni chanzo cha stress. Caveat emptor.

    Pole Sana Ndugu Zangu Mimi Namshukuru Mungu Nimepata Chuo Kwa Course Nilizozipa Chaguo La Kwanza Ila Wanachukua Ufaulu Mkubwa Sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliokosa admissions

    Jaribu Arusha Technical College Wamefungua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu bachelor of Science education ( ICT and Mathematics) Mzumbe

    Mnaendeleaje wadau nimechaguliwa kusoma Bachelor of Science education ( ICT and Mathematics) mzumbe. kwa anayeijua naomba ushauri msuli wake ukoje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusu Bsc in education with ICT

    Ata mimi nimechaguliwa hiyo course mzumbe, wanaojua tunaomba majibu jamani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waliomba Degree kwa Diploma Only!!

    Pole sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Only diploma to degree selection

    marafiki zangu wengi wamekosa sijui wametumia vigezo gani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Mzumbe University: Wale wanaosoma sheria nao wanasoma kwa kupokezana?

    nimechaguliwa Bachelor of Science with Education mzumbe, ikoje?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu bachelor of Science education ( ICT and Mathematics) Mzumbe

    mnaendeleaje wadau nimechaguliwa kusoma Bachelor of Science education ( ICT and Mathematics) mzumbe. kwa anayeijua naomba ushauri msuli wake ukoje?
Back
Top Bottom