Recent content by Michael lusato

  1. M

    Bili ya Maji kwa wakazi wa Mwanza imeongeza Kati ya asilimia 75-100

    ...tanesco na idara ya maji baadhi ya watumishi bado wanajiona ni miungu mtu...wanajibu wateja wapendavyo na kufokewa ata kufukuzwa ndani ya ofisi utazani ni Mali ya familia zao Mara waite walinzi eti njoo utoe uyu mtu ndani ya ofisi yangu!! Nidhamu bado ni mbovu sana mwanzo walipata uoga baada...
  2. M

    Bili ya Maji kwa wakazi wa Mwanza imeongeza Kati ya asilimia 75-100

    ...yaani ndg hawa watumishi wana majibu machafu sana nilienda kuwambia mitta yao inazunguka ata nikiwa nimefunga maji tokea mwezi 3 wakanijibu eti kwaiyo wafanyeje juzi 01/8/2019 naenda kwa meneja yaani uyo ndio kimeo kabisa anatufukuza wateja ofisini eti tunampigia kelele ana majukumu mengi...
  3. M

    Bili ya Maji kwa wakazi wa Mwanza imeongeza Kati ya asilimia 75-100

    ...hili la bili ya maji jijini mwanza imekua kilio kikubwa kwa wananchi wenye kipato cha chini(wanyonge) imekua kama anasa kutumia maji wakati kila siku wanapanua midomo kusema maji ni uhai...alafu hakuna watu wenye majibu machafu kama watumishi idara ya maji buzuruga akiwemo meneja wao....mteja...
  4. M

    Mistake ya kuachia sauti zilizodukuliwa za viongozi wastaafu kimehatarisha usalama wa nchi yetu

    alie na sikio na ausikie ujumbe huo umetoa darasa pana kwa wahusika
  5. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    ...hivi wewe ni mhusika wa tanesco kweli au unaleta comedy kwenye issue za msingi? Maana haujibu hoja za msingi za wananchi....umeulizwa je umesikia tamko la mh: waziri kwanini mpaka Leo bado mnatwambia tulipie nguzo?...kati ya tanesco na waziri nani yuko sahihi kwenye jambo hili?...wapo...
  6. M

    Mtwara: Meneja wa Tanesco Mtwara anaongoza kwa kukaidi maagizo toka juu

    ..tanesco wanahujumu juhudi za mheshimiwa Rais kufikia uchumi wa kati wa viwanda...mtanzania wakawaidq kupatiwa umeme imekua shida.
  7. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    ....Niko tanesco mda huu nimefatilia huduma baada ya tamko LA waziri tusiuziwe nguzo najibiwa kwamba hawana taarifa iyo labda niende wizarani nikaulize vizuri!! hii ndio tatizo la watumishi wa umma wa nchi hii yaani waziri kaongea mchana kweupe akatoa maagizo nchi nzima alafu mtumishi wa wizara...
  8. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    ...ningekua na pesa ya kulipia ningelipa tokea 2016 nilipomaliza kujaza form ninalalamika kwasababu miaka 3 nateseka kisa umeme kwa shirika la umma linalopewa ruzuku kwa pesa zasisi wanyonge bado wangeleta huduma hapo mtaani wengi wangeunganishiwa na serikali ingepata mapato kupitia ununuzi wa...
  9. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    ...ndio hapo sasa si bora ukanunue sola...nitafurahi kama tamko la waziri litafanyiwa kazi na mameneja wa mikoa na wilaya nchi nzima...kwanza watakua wamechochea ukuaji wa uchumi kwa halaka dada zetu na mama zetu watauza juisi au barafu mitaani kwao vijana watafungua saloon na kuuza maji baridi...
  10. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    .....mtaa nyambiti kata buzuruga.. Wilaya ilemela mkoa mwanza...form iko mikononi mwa tanesco tangu 2016...nguzo mbili naambiwa nilipe laki 7 kasoro elfu 5...je kati ya tanesco na maagizo ya mh: waziri nani yuko sahihi?..maana mnatuchanganya wananchi...naomba jibu
  11. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    ....hapo ndio unajiuliza iyo nguzo wanakuuzia kuwa mali yako au inakua mali ya mtaa mzima kila mtu anaweza kuchukulia umeme hapo...tanesco wamegeuza huduma ya umeme kwa wananchi ni biashara kwao...bora kuruhusu wazalishe kuliko utumwa huu shirika letu linapewa ruzuku kwa kodi zetu bado ukihitaji...
  12. M

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    Mh: waziri angeweka vizuri jambo ilo kama ni nchi nzima wote tufaidike na huduma iyo maana nimepeleka form tanesco mwanza yakuomba kuunganishiwa umeme tokea 2016 mpaka leo sijapata huduma..mara wakija kupima waseme nguzo 3 mwaka jana wamekuja kupima tena wanasema nguzo mbili kwaiyo nikalipie...
  13. M

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    ...pole sana mkuu chakufanya tafuta pesa kwa bidii na uwe na mademu wengi kila mtaa lazima atokee mmoja wao kukwambia anayo mimba yako wee usioji mambo mengi lea mimba badae mtoto...si unajua ata yusuph alipiga kimya baada yakujua mariamu mchumbake yuko mimba..nakushauli ndg bora kuishi kwa...
  14. M

    Swali Fyatu: Yaani mmesahau yote yale mnawalilia vijana hawa?

    Upinzani wa kweli ulikua enzi za kamanda wa vita dr.silaa hawa waliobakia yote ni malafi ya ruzuku hawana tofauti na ccm...kila nikikumbuka walivyokua wakizungusha mikono na viuno kisa lowasa wa ccm na kila nikiona wanavyomtetea nape january na mwiguru ambae walimtuhumu kwa tukio la rwakatale...
  15. M

    Kama Makatibu wakuu wastaafu wa CCM wanatukanwa hivi. Je, Wenyeviti wastaafu ambao waliongoza makatibu hawa wako salama?

    ...we jamaa unalazimisha kuijua siasa lakini haikutaki kabisa bora ukalime viazi unaweza vuna nusu gunia..uwezi mlinganisha Dr.slaa na takataka zote zilizobakia chadema mchawi wa upinzani ni mbowe na genge lake kununuliwa na lowasa nakukifanya chama kuwa Mali ya wahamiaji wenye kashifa wa...
Back
Top Bottom