The same thing happen to me guys but mi nilimfuata straight nkamueleza na tukayamaliza,hakupendezewa kwakwel na nikakubali makosa na kujrekebisha japo ilikuwa ngumu sana kufikia muafaka...sasa ww blaza AKIJUA! KAZI UNAYO,TRUST HER OR LEAVE HER KULIKO KUWA NAE NA HAUMUAMINI...tena fnya juu chini...
unapozungumzia Malkia wa muziki Tanzania kutokana na kizazi basi n hayati Bi.Kidude,Khadija Koppa na Lady Jay Dee...wanajituma na kupenda kazi zao na kutokana na kichwa cha Lady Jay Dee ni basi tu yuko Tanzania ila angekuwa mbele angmiliki mara dufu zaidi ya ambavyo watu wanajiuliza na kushangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.