Recent content by Michael Amos

  1. M

    Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

    Wekeza kwenye kilimo cha tangawizi iringa halafu tasimamia mmi kama unaniamini, nipo tu nishamalza chuo halafu faida itakayopatikana tutawasiliana Uvunaji wa tangawizi ndani ya miezi 6 inauwezekano wa kkuingizia milioni 24 kama unaniamin namba zangu hiz hapa 0714145928
  2. M

    Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

    Baba ni baba hata kama mabaya mangapi amekutendea, Omba msamaha hapo ndipo utajua nguvu ya msamaha,mangapi tunamkosea mungu na tunafanya toba na kusamehewa. Kama kijana anatambua mchango wa Mzazi arudi aombe msamaha hata kama hakutenda kosa, tambua what's goes around comes around.
Back
Top Bottom