Recent content by michael adelin

  1. M

    Dr. Slaa: Natishwa

    kama cdm misikule ya mbowe,wewe ni msikule wa nani? Je, mmiliki wako ni basha?
  2. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Acha kuchanganyikiwa ndugu yangu, tukianza lugha chafu hapa, hapatakalika. Kamati inasema issue ya richmund ilisimamiwa na waziri mkuu hivyo madhaifu yote yaliyojikeza aliyafahamu na kuyafumbia macho hivyo Mhe. Waziri Mkuu apime mwenyewe. Katika kupima ndipo mh. kwa maslahi ya serikali na chama...
  3. M

    Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    Mtu hupimwa kwa matendo yake,wote uliowataja hapo juu wamekuwa mwiba mkali kwa serikali ya ccm kabla na baada ya kuteuliwa katika nafasi zao. Hadi leo ni kati ya watu wanaoogopwa na wameifanya serikali kuwa active kwa kiwango kinachoridhisha. Pia wameendelea kupinga matendo maovu na mipango...
  4. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Hiyo safari siifahamu mkuu, labda unialike kama huna kaagenda ka siri.
  5. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Nashukuru kwa uaminifu wako.
  6. M

    Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    Uhusiano wa Ztto, usalama wa Taifa, Chama cha mapinduzi na viongozi waandamizi serikalini hauwezi kuuponesha Ukawa. Si sahihi Act kujiunga Ukawa vinginevyo tumekubaliana kuipalilia ccm madarakani.
  7. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Alishasema mbele ya CC ya ccm na wengi ndani ya CCM wanajua kuwa Lowasa alitaka kuifutilia mbali Richmond mapema ilipokuwa inasimika mitambo yake hapa nchini lakini alizuiliwa na mabosi wake wa kazi. Pia wanaccm wanajua kuwa si Lowasa aliyeleta kampuni hii feki hapa nchini bali walioleta ndio...
  8. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    We andika kitabu ila ukweli hautabadilishwa kwa maandishi yako, sisi tumefanya utafiti hakuna anayekubalika kama Lowasa hapa Tanzania kwa nafasi ya uraisi na hakuna maandishi wala propaganda zinazoweza kubadili hali hii zaidi ya kumpa fursa ya kuongoza nchi. Hakuna anayeweza kukubalika kwa watu...
  9. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Tutaonana muda ukifika, utatueleza Sitta ni msafi kiasi gani au nawe ni type yake!
  10. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Hatari kwa lipi,usichanganyikiwe ukataka kuchanganya na wengine. Eleza kwa facts kwanini Lowassa ni hatari!
  11. M

    Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    We unaujua ufisadi wa Lowasa? Kama unaujua weka hapa na kama hujui omba radhi na usikubali tena kubebeshwa maneno kama kasuku.
  12. M

    Kwa haya matokeo, Je, Zitto hakubaliki Kigoma?

    Sawa, watu hawawataki hao madiwani ila wanamtaka Zitto basi mwambieni arudi kugombea ubunge hapa Kigoma Kaskazini. Yeye mwenyewe anajua ataokota vumbi ndo mana amekimbia na kama anabisha aje!
  13. M

    Kwa haya matokeo, Je, Zitto hakubaliki Kigoma?

    Hapana, ameondoka 2015 na kuacha cdm ina diwani mmoja tu wa Mwandiga Mhe:Ally Kissala.Pia katika uchaguzi serikali za mitaa 2014 ACT imepata kijiji kimoja tu cha Kagongo kati ya vijiji 45 vya jimbo la Kigoma Kaskazini lililokua chini ya ZZK. Mimi nipo hapa Kigoma, asiwadanganye mtu, kama Zito...
  14. M

    Lipumba: Tunaunga mkono maamuzi ya CHADEMA dhidi ya Zitto

    Acheni matusi, tumieni busara na hekima kujadili hoja. Kusema wachaga ni wapuuzi haikusaidii kitu,pia ni matumizi mabaya ya akili aliyokupa Mungu.
Back
Top Bottom