Recent content by mic.com

  1. mic.com

    Maandamano ya CHADEMA yaanza kutoa matunda, makali ya maisha sasa kupunguzwa!

    hiyo treni ya umeme mtaisubiri hadi mtoke vigimbi.......
  2. mic.com

    Maandamano ya CHADEMA yaanza kutoa matunda, makali ya maisha sasa kupunguzwa!

    Eti twaambiwa hali ngumu tumeiridhi toka awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi yetu, hivyo tusilaumu kwa awamu ya sasa kuwa imeshindwa kutatua kero za wananchi ikiwamo kupanda kwa gharama za maisha....kama vipi wabwage manyanga CHADEMA waonyeshe uwezo...:embarassed2:
  3. mic.com

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Wahubiri hawa wamekuwa kama chuma ulete....kila siku wanawatisha watu kuwa siku za mwisho zimekaribia watu waweke hazina kwa bwana, cha ajabu hazina hizo zinawekwa kwao. Mahubiri yao asilimia 80 ni michango, sadaka na fungu la kumi, asilimia 15 ni kutishana kwamba ukimkosea mungu hakika utakufa...
  4. mic.com

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    These wahubiri fears to loose their obedient followers who are the major source of their income:embarassed2:
  5. mic.com

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Kudadadeki hivi kumbe ndo upande wa pili wa anayejiita "mtume na nabii"....I cant believe my nose!!!!!!!!?????? :hatari:
  6. mic.com

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Uandishi mwingine bana mtu anakurupuka tu bila hata kuwa na evidence :lol:
Back
Top Bottom