Recent content by Mibikimitali

  1. M

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    Hawa Polisi ni wajinga kupita kiasi, wamepoteza sifa kabisa katika jamii. Lengo lao lilikuwa kumuua Sheikh Ponda! Huu ni unyama unaotakiwa kupingwa na watanzania wote bila ya kujali imani zao.
  2. M

    Nimependa maelezo ya Peter Msigwa BBC muda huu

    Yaani yule ni empty suit. Anajisifu jinsi alivyomfundisha JK kutumia teleprompter, kama vile yeye ndiye aliyeivumbua (invent). Yaani, hizi ni moja ya mafanikio yake. Halafu kuna wajinga kwenye page yake wanampongeza na kumwomba agomee urais.
  3. M

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Nianze kwa kusema ya kuwa mimi sikubaliani kabisa na itikadi za Sheikh Ponda; lakini, itikadi pekee hazitanizuia mimi kusema ukweli. Nimeshtushwa sana na zile picha zinazoonyesha jeraha la Ponda! Ni wazi wale waliofanya vile walikuwa na lengo moja tuu kumuua huyu bwana (excution style) kama...
  4. M

    Sumaye: Rais ajaye apambane na madawa ya kulevya!

    Kwa hiyo tukae tusubiri mpaka 2015 mpaka 2015 for the intervention.
  5. M

    Nimeyasema Haya Kwenye Star Tv; " Vyama Vya Siasa Visiturudishe Kwenye ' Ujima' "

    Maggid, Watu wote hawa hawawezi kuwa wamevaa miwani ya chama nadhani kuna ukweli katika kile wanachokisema. Nadhani wakati umefika, ukae chini na ujfanyie tathmini yako mwenyewe, huo ndio uungwana. Suala la Chipukizi, alikuanza leo wala jana, lilikuwepo tangu kipindi cha Mwalimu. Nakumbuka...
  6. M

    Balozi Maajar: Tulikosea katika madini, tusikosee katika gesi

    Naomba wadau mnisaidie, Mama Maajar anaposema " kwenye madini tulikosea" anamaanisha nini kwa kutumia neno tulikosea? Je anazungumzia sisi wote watanzania au anazungumzia kampuni yake ya REX ATTORNEYS na baadhi ya vigogo wa serikali? Na jee kama walishindwa kabisa kutetea maslahi ya wazalendo...
  7. M

    Kama Kikwete atakuwa bado ni Rais 2015, nchi itaingia vitani

    Ni mtu mjinga ndiye anayeweza kucheka na kusema jambo hili ni la CHADEMA. Nadhani inabidi ifike sehemu tukae na kuangalia mstakabali wetu kama taifa! Nchi haitakiwi kuongozwa kisanii au kuendelea mulinda mtu incompetent kama Mwema kwa sababu tuu ni shemeji. Mpaka leo hatujui ni nani aliyepiga...
  8. M

    Kama Kikwete atakuwa bado ni Rais 2015, nchi itaingia vitani

    Kazi kubwa ya kwanza ya serikali yeyote duniani ni kutetea usalama wa raia wake; bila ya kujali, itikadi zao za chama wala imani zao. Kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA ni kitendo kinachotakiwa kulaaniwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. KItu cha kusikitisha kitendo hiki si cha...
  9. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    You don't know what you are talking about...
  10. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    I am not going to waste my preciuos time arguing with you. I have told you several times that I don't believe in organized religion; however, it seems you have made your mind and you just want to argue just for the sake of arguing.
  11. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Kujadili Video ya Lipumba ni udini? You know what, you are an idiot. Kwanza mimi katika kauli zilizoniudhi katika ile video sio ya masuala ya dini kwa taarifa yako. Mimi nilikasirishwa na kitendo chake cha kusema ya kuwa kwa nini wabunge wa CCM wanavuliwa madaraka na mahakama wakati wao ndio...
  12. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Kwanza sijui hata BAVICHA ndio kitu gani. Nashindwa kuelewa kwa nini unataka kuingiza udini kweny hili suala. Bahati mbaya mimi ni mtu mwenye mawazo huru, siamini katika dini zenu hizo zilizoletwa na Wazungu na Waarabu. Lengo langu ni kutaka kusikia opinion zake huyu mtu ambaye kila kunapokuwa...
  13. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Hapana, hiyo article aliandika wakati wa uchaguzi. Ila ningependa kujua nini msimamo wake kuhusu Lipumba baada ya kuiona ile video? Je, kama angepewa nafasi ya kuandika upya hiyo article hapo juu kuna vitu ambavyo angeongeza au kupunguza?
  14. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!16 October 2010 Na Maggid Mjengwa, MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na CHADEMA. Kuna aliye kwenye mbio wanamsahau, kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Ni Profesa Ibrahim...
  15. M

    Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Tafadhali mtu mwenye hiyo clip atuwekee hapa ili tumsikie huyu ICC indictee anasemaje?
Back
Top Bottom