Recent content by Mia ya noti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Honest Advice: Its tough out there bro, dont do it, just dont..!

    Mbona Zuma kaanzisha akiwa Mzee na kimeleta mabadiliko SA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Pole sana kwa ajali. Mwenyezi Mungu ajaalie upone upesi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Hakuna uchawi Mzee ni woga weru TU we piga kazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Sasa hapo panatakiwa uwafanye watimize majukum kwa hiyo hiyo salary mkuu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Wiki mbili chache sana kufanya tathmini ya uongozi. Unahitaji muda kuwaelewa unaowaongoza ili uanze kubadili culture ya hapo kiwandani. Kama walivyokushauri wengine itisha kikao. Inaonekan hata hujakaa nao kikao ukawapa nini unatarajia kutoka kwao na namna ya kufikia matarajio. Pia uelewe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

    Umekurupuka kujibu hoja yangu. Tulia elewa ndio ujibu. .
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

    Jamaa Hana akili kabisa ataweza kufanya hiyo analysis? Tusahau maendeleo kama ndio viongozi wetu hao wanawaza namna Hii.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

    Ujinga ni mzigo jamani. Eti huyo naye kiongozi. Mnachukua Kodi mnakula mnasingizia vitu non sense. Je wapi huko pasipo na majungu penye bara bara nzuri Tanzania hii? Mbona Kila mahali panafanana? Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kama tunataka kuendelea. Tukiendelea na Hawa watu tusahau kupiga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

    Huenda alishatubu dhambi zake kabla ya kifo na akasamehewa. Tuombe mwisho mwema.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

    Wasichukue Kodi huko Busega. Hajaanza yeye alianza Magu kwenye kampeni za 2020 kusema mkichagua upinzani sileti maendeleo jimboni kwenu. Ni kawaida yao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

    Sasa jeshi la polisi Lina kazi Gani lisifichue hao wauwaje wa huko chadema?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

    Kwa Mimi bado naona mkanganyoko. Huyu mtu asiyeenda school of law atafanyeje ili kutenda sawa na matakwa ya Sheria ili hata ikitokea swala linaenda mahakan awe katika upande salama?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Kunyonya toka 2012 sio kwamba ni lazima ukutane na hiyo virus ila ukikutana naye utaleta ushuhuda.
Back
Top Bottom