Liquimoly inatosha sana. Inaaminika kuwa na viwango zaidi haya ya total. Ila muhimu zote upate full synthetic na original. Na ubadili oil kila baada ya 5000KMs
Kuna faida na hasara za kila njia.
Faida za kununua showroom
1. Ni haraka na unapata gari yako kwa haraka zaidi bila kuwa na wasiwasi mkubwa
2. Unaiona na kukagua muonekano wa gari kwa uhakika zaidi
Hasara zake au mabaya yake
1. Kwa Tz, uaminifu wa dealers wengi unatia mashaka hasa kwenye...
Kwa uzoefu wangu wa kurndesha gari usiku na mchana, mjini na safarini, nitofautiane na mtoa mada. Kama ni safari, usiku kuna risks nyingi sana, la kwanza na kubwa ni uoni hafifu. Ajali nyingi husababishwa na hili. Hasa kwa madereva wasio na uzoefu, epuka kuendesha usiku.
Naelewa unachosema ila kwa Surf nadhani hii ndo newest model. Sidhani kama waliendelea kutoa Surf baada ya hii
Soko la marekani bado wanaendelea na 4runner
Mi sipendi speed ila wewe utakuwa umenizidi kama hujawahi kuendesha au kuendeshwa kwa speed ya 120kph. Barabara za mikoani karibu zote unaweza kutembea na hii speed kwa vipande virefu tu. Na siwezi kuiita ni speed ya hatari sana hasa sehemu amabazo hakuna watu.
Hiyo si gari ya maskini, labda kama unaongelea fuel consumption peke yake. Lazima ugharamie service yake kila km 5000, uweke oil sahihi na service nyingine muhimu zinazotaka modern diesels.
Za petrol ni afadhali lakini zina mapungufu yake madogo madogo
Siyo lazima zifanane consumption kwa sababu tu zinatumia engine 1. Kuna mambo mengine kama weight ya gari, gearbox na walivyoitune, umbo la gari etc. Wataalam wanajua zaidi
Kitu oekee ambacho nqweza kumshauri mtu asichukue brevis ni kama ana safari nyingi fupi fupi za mjini na bajeti yake ya mafuta si kubwa. Otherwise ikipata service nzuri na clean fuel ni gari tamu.
Nimesikia sana watu wakisema ni mbovu, sikuona hilo kwa miaka kadhaa niliyoendesha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.