Juzi juzi hapa nilisoma ujumbe wa waandishi wa habari za michezo kuhusu Shirikisho la Riadha Tanzania na Madudu yake na nikaamua kuu share humu. Nilikumbuka mbali sana hasa katika Ile habari ya upigaji na alichotaka kufanya kupitia Press Conference aliyotaka kufanya kiongozi wangu wa zamani...
Siku zote ukiwa unatumiwa na wakubwa zako hasa ukipewa na fedha lazima uwe unatoa ripoti na kazi ulio tumwa kuifanya, sasa hawa ndugu zetu wanatumiwa na wazungu wa mataifa hayo na wanakula fedha zao, lazima wakanyenyekee kwa kueleza umezifanyia nn na utoe matokeo ya ulichoagizwa kufanya
Usiku wa tarehe 27/11/2020 nilimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akitoa taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kuhusu wabunge wa vti maalumu wa chama chake alioishia kuwavua vyeo vyao pamoja na kuwafuta uanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa kiongozi wa CHADEMA anayejua kucheza na...
Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha.
Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania kwani wengi wamejikita kwenye michezo mingine.
Ni hivi, tangu aingie madarakani Rais wa Riadha...
Wewe umekaa asubuhi yote hii kumbe hata akili huna, yaani mm kuongezea pesa ni rusha? ufanyaji kazi wangu na mambo yenu ya kisiasa yananihusu nini mm, acha mawazo mgando yasiyo na tija
Kiongozi wenu si aliwafukuza TBC? Leo hii mnataka ifanye coverage ya matukio yenu kwanini hasa? Na tangu lini kifo cha CCM kinakuuma wewe?
Kama TBC kuitangaza CC ndio kifo cha CCM wewe inakuumia hapo nini, Tulieni dawa iwaingie
Nimeusoma waraka ulioandikwa na wanaojiita wazee wa Kigoma nikastaajabu sana. Waraka huo batili una kichwa kisemacho _"WAZEE WA KIGOMA TUNAMUONYA SPIKA NDUGAI KWA MARA YA MWISHO"_.
Kwakweli waraka huo hauendani na maadili waliyonayo wazee wa Kigoma ndio maana sitaki kuamini kuwa umeandikwa na...
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.
SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.