Recent content by Mhinajr

  1. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali Itusikie wazabuni, tunaidai TEMESA Morogoro tangu 2017

    Mtaalam umetoa hoja umekaa kimya,njoo utoe taarifa za kutosha kuhusiana na changamoto zako...jina la kampuni .......je ni wewe pekeako aku kunawengine wamekumbwa na changamoto kama yako...
  2. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe uchunguze Idara ya Afya

    Toa mawasiliano ya mtu aliepatwa na changamoto izo ili tujue ukweli...
  3. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali Itusikie wazabuni, tunaidai TEMESA Morogoro tangu 2017

    Mkuu nimekucheki private haujibu?
  4. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tunaofanya kazi kwenye mradi wa SGR tunachangamoto ya kutolipwa madai yetu

    0628451635.....mtoa mada nitafute
  5. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya RAS mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho muda mrefu bila kufafanyia kazi

    Kuna dawati la lalamiko mpigie uyu 0699790638,atakusaidia
  6. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Interview itategemea na chuo wanataka walimu wao wawe na skills gani za muhimu... Ila mimi niliitwaga kwenye interview sehemu fulani,waliniambia niandae power point presentation isiyozidi slide 10,na nilitakiwa niiwakilishe ndani ya dk 25 tu. Pia upitie teaching methodology zitakusaidia makuu.
  7. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Inategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti. Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri. Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
  8. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Watu makutupora waliondoka na machovi na degree zao
  9. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Ukiitwa kwenye usaili hakikisha unawaulizia watu walio pita kwenye kile kibao cha kupimia macho wakutajie herufi maana hawabadirishi....laah sihivyo,kitu kidogo kinaweza kukuferisha maisha,wee kaa mwishoni mwishoni ili ukifika ukitaja ata viherufi vi 3 wakuachie
  10. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hahaha....apo ni parefu mzee kama unamacho mabovu
  11. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Wameanzia watu wa 1993...na kuendelea
  12. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Eeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majina
  13. Mhinajr

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Eeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majina..kukitokea chochote wataitwa.
Back
Top Bottom