Recent content by mhina ngalawa

  1. mhina ngalawa

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    hakuna bahati mbaya hapo walidhamilia tu hebu kama bahati mbaya ianzie kwako kula hyo chuma.
  2. mhina ngalawa

    CHADEMA haijawahi kuona umuhimu wa wananchi wa Kinondoni

    wewe ndo wa kupuuzwa kabisa kwa hali ilivyo hapo ccm hamchomoki labda watumie polisi
  3. mhina ngalawa

    Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

    ipo siku nawe funza watakupiga mswaki jaribu kuwa na roho ya utu mawazo naye ni binadamu kama hao wanajeshi.
  4. mhina ngalawa

    Masha ametoa funzo na onyo kwa wale wanaoota CCM kung'oka madarakani

    kiki za kisiasa mbaya na njaa mbaya acha watu wacheze na biti alikosa ubunge hasira zake akahamia chadema amekutana na chama chenye msimamo karudi ccm yake.
  5. mhina ngalawa

    Kada wa CCM, Joseph Warioba ajeruhiwa na Redbrigade wa CHADEMA kwa Mapanga

    nahisi ni watu wasiojulikana mbona kwa lissu nao ni watu wasiojulikana ingawa alitaja plate no za gari ila bado mpaka leo no watu wasiojulikana.
  6. mhina ngalawa

    Freeman Mbowe umesikitisha watanzania na unapaswa kupingwa na kila mtu

    jicho lako lipo kisiasa zaidi naww ni ccm
  7. mhina ngalawa

    Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Tunataka ndege yetu sio porojo watz wa leo wanajua mambo huwezi kuwadanganya,dawa ya deni ni kulipa ikumbukwe hizo ni pesa zetu sio za ccm pekee
  8. mhina ngalawa

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Naona barua ya bunge ikisema ccm ilishamwandikia mheshimiwa Nyarandu tarehe 30 mwezi huu barua ya onyo na kuanzia tarehe hiyo alipoteza sifa ya kuwa mbunge hapa magreat thinker watajiuliza na jibu ni kuwa nyarandu aliwawahi na ili kuficha aibu hii wameona waje na zilipendwa hii.
  9. mhina ngalawa

    Maandamano Tarime: Mkuu wa wilaya aingia aibu

    nchi ya kutaka kusifiwa kukoselewa no.na utakutana na watu wasiojulikana.
Back
Top Bottom