Wale waombaji wenye equivalent Qualification waliokuwa wameomba vyuo (shahada) kupitia NACTE wanabaki katika utaratibu upi baada ya TCU kutangaza kuwa chombo pekee kitakacho dahili wanafunzi Wa shahada ya kwanza 2016/2017.
Application fee inarudi? Kwani tunamini haijafanya kazi yeyote hata...
Mheshimiwa mbunge aliyemaliza muda wake jimbo LA musoma vijijini kabla halijagawanyika Nimrod mkono
Hali yake si njema katika kura za maoni zilizopigwa Leo nchi Nzima.
Wazee hata mkimtetea babu haponi mwaka huu na sidhani kama mnalifahamu vizuri jimbo LA musoma vijijini.
Sikatai kafanya mambo mengi katika awamu ya kwanza na ya pili lakini hii ya tatu utadhani jimbo halikuwa na mbunge. Mnaotetea kwamba aendelee naomba mrejee matokea ya uchaguzi Wa...
Huu ni mwaka Wa uchaguzi,mbwembwe na tambo
Kwa wanasiasa walioko madarakani haziishi kama alivyowahi kusema nimrod mkono mbunge Wa musoma vijijini kwamba hana mpango Wa kuachia madaraka hajaona MTU Wa kumwachia na atakuwa king'ang'anizi kama Mugabe, Je mheshimiwa kwa barabara hizi una sifa...
Ccm hali mbaya,wamalize kwanza sintofahamu ya makundi ya wagombea urais waliyonayo ndo waanze hayo maigizo yaliyowahi kuigizwa hata na IGP mahita kuhusu cuf
Aseme pesa ya mfuko Wa jimbo alichowahi kuifanya,ataje na vijiji alivyowahi kupeleka pesa hiyo, ukipita katika shule nyingi hasa za msingi madarasa yamechakaa ,nyumba za walimu ndo useme! Na hii moja ya kazi za mfuko huo kuunga mkono shughuli za maendeleo kwa wananchi. Kama ni katika ujenzi...
Mheshimiwa sana Nimrod mkono naamini unaendelea kupambana ili utete kiti chako katika uchaguzi Wa October 2015.
Wakati ukiendelea kujipanga tunaomba utuweke sawa wananchi Wa kata ya Buswahili ya hatma ya bwawa lililokuwa likichimbwa katika kijiji cha WEGERO litakamilika lini na mkandarasi...
Ndugu wana JF
Kijiji cha hekwe ni moja ya vijiji vya wilaya ya Serengeti kilichopo katika kata ya kenyamonta tarafa ya ngoreme.kata ya kenyamonta na tarafa ya ngoreme kwa ujumla sehemu kubwa ya wakazi wanaoishi maeneo hayo ni kabila LA wangoreme isipokuwa kijiji cha hekwe pekee ndo kinakaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.