Recent content by Mhenga Mpya

  1. Mhenga Mpya

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    Kubali umeyakanyaga, na maumivu ni sehemu ya mafunzo! Piga chini mkuu hata kama itakuumiza. Ana mtu huyo na hakufai!
  2. Mhenga Mpya

    SoC03 Je, ni Utu ama Sheria huinua taasisi?

    Ni Dhahiri kuwa binadamu amebarikiwa uwezo asilia wa kung’amua mambo na kufanya maamuzi . Uwezo huo ni utashi. Utashi aghalabu hutegemea pia maarifa/stadi alizonazo mtu husika ili kufanya maamuzi. Utashi wa binadamu si tu pekee unahusika na maamuzi, bali hujijenga kwenye misingi ya Utu wa mtu...
Back
Top Bottom