More data is collected than is ever analysed. More analysis is made than is ever utilised. What if all data that was ever analysed was utilised and all data collected was analysed? Where would we be?
Safi sana The Dealer na Mtu wa Shamba. Sasa ni unyambuzi na ung'amuzi tu uliobaki.
Huyu anazungumzia "ulimbukeni". Nakumbuka mwaka 1982 wakatizinaanza daladala Dar es Salaam, mtu mmoja naye alisimama na kulaani ulimbukeni wa watu wanaopapatikia kulipa shilingi 5/= wakati UDA za shilingi 3/= zipo na akaapa kutopanda kamwe daladala. Dijitali ndo hiyo. Imefika, imeanza, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.