Habari zenu.
Nimekuja kwenu nikiwa naamini kwa namna moja ama nyingine nitaweza kusaidiwa kupata kazi.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya ualimu wa Masomo ya fizikia na kemia.
Ninaomba kazi ya utunzaji wa bustani...
Mim ni mvumilivu sana, na hua siamini katika kushindwa. Lakini mpaka kusema nilishindwa, jua nilishindwa kweli. Kuhusu career yangu ya ualimu, ninaipenda na nimekosa sehemu walau ya part time. Na siwezi kujitolea bure shuleni hali ya kua ninahitaji nipate pesa kukidhi mahitaji ya lazima kama...
Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha.
Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na vitangulizi nilivyo navyo. Kwa uzoefu wenu, naomba nisaidiwe wazo la biashara niweze kujikwamua kiuchumi...
SPECIFICATIONS
Model Number:D3200
Conditions: USED in a good condition.
IMAGE SENSOR
Effective Megapixels:24.2MP
Sensor size:357.28mm2 (23.20mm x 15.40mm)
Approximate Pixel Pitch:3.86 microns
Focal Length Multiplier:1.5x
Aspect Ratio:3:2
Color Filter Type:RGBG
Anti Aliasing Filter:Fixed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.