Kufungua kampuni out of nowhere na hauna income yoyote sio rahisi sana, kampuni ina mahitaji yake kwenye ufunguzi labda kama ni kampuni bubu but kama kuna vijisenti kadhaaa unapata na huku una familia wanakuangalia priority ya kwanza ni wao kusurvive, i'm in the same situation naelewa fika the...
Wakuu hivi na ukiwa umeapply michango yako ije kwenye mfumo ya michango ya hiari toka kwenye ile ya mwajiri na ikawa approved huwa inachukua muda gani michango kuhamishiwa kwenye mfumo ya michango ya hiari? Maana nikiangalia salio naona bado hawajaondoa malipo waliyonipa kwenye miezi 6 ya fao la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.