Recent content by mhandisi_1

  1. M

    JamiiForums Tanzania KINYUME NA IMANI YA WENGI: WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE

    Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025. https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
  2. M

    JamiiForums Tanzania Toka Netanyahu alipokula chakula chenye sumu, mpaka leo hajawahi kuonekana hadharani. Hivi ni nini kinaendelea juu ya uhai wake?

    https://www.timesofisrael.com/liveblog_entry/pm-suffering-from-food-poisoning-his-office-says-after-he-skipped-cabinet-meeting/
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Sijajibu kwa sababu ya offer yako ila naona unatafuta kujua na hakuna ugunduzi WA mana kama kujua siri hii kwamba Mungu alidhihirishwa katika mwili, naye akaka nasi na kutuonyesha utukufu WA Mungu, wanao amini na kumkubali Yesu Mungu anawapa uwezo wa kufanyika wana wa mungu. Kama uzuavyo mwana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Rafiki, Yesu ni Mungu kamili na ni mwansdamu kamili; asili mbili ndani ya mmoja. Kuhusu Uungu wa Yesu nitakupa ushahidi wa namna mbili moja ni uzoefu wangu na ya pili ni kimaandiko. 1. Yesu ni Mungu mana anafanya mambo ambayo mwansdamu hawezi kufanya: a) ameniokoa dhambini (kwa jina lake Nina...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, kweli agano jipya ni ufunuo wa kimungu uliohifadhiwa au ni kazi ya kibinadamu?

    https://youtu.be/I7QdOw8RVJ4?si=zVysx03RwxsSnKYH
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yohana na Mathayo yupi iko sahihi katika hili licha ya kuwa wote walishushiwa ufunuo wa "roho mtakatifu"

    Pole, unahangaika na mam bo mengi lakini linalohitajika kwako ni kuwa na uhusiano binfsi na Mungu, ni kuwa na ushindi wa dhambi, ni kuwa na uhakika wa msamaha wa dhambi zako. Hizi ngonjera nyingine waachie wasomi ila tambua; hakuna mtu anaweza kumfahamu Mungu Kwa hekima ya kibinadamu. Sisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yohana na Mathayo yupi iko sahihi katika hili licha ya kuwa wote walishushiwa ufunuo wa "roho mtakatifu"

    Siwezi kmwacha Yesu aliyenipa ushindi wa dhambi, siwezi kmwacha Yesu aliyenipa furaha, amani, upendo pamoja na ushirika wa Roho Mtakatifu. Siwezi mwacha huyu aliyenipa burudiko la moyo na kunitua mizigo. Ninakuelwa sana mkuu Covax na Kwa Nini unafikiri ukristo umejaa contradictions lakini Mungu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yohana na Mathayo yupi iko sahihi katika hili licha ya kuwa wote walishushiwa ufunuo wa "roho mtakatifu"

    Rafiki Covax unahangaika na mambo mengi ushauri wangu mpokee Yesu leo akufanye mwana wa Mungu (Yohana 1:12). Haya maswali yatakuchanganya unajua ukiwa mtoto wa mtu atajua yote maana tutaweza kuingia vyumba vyote nyumbani mwa baba yako. Yahweh anataka uwe mwanae ila nanna ya kuzaliwa upya (Yohana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yohana na Mathayo yupi iko sahihi katika hili licha ya kuwa wote walishushiwa ufunuo wa "roho mtakatifu"

    Yn 5:39-40 SUV [39] Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia. [40] Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima. https://bible.com/bible/164/jhn.5.39-40.SUV
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msaidizi (Paraclete) ni mtu mwingine na si Roho Mtakatifu Yesu aliwaambia wanafunzi wake

    Umungu haufichwi ila akili za binadamu haziwezi kuuelewa umungu, ndio maana tunaokolewa Kwa Imani si Kwa kuuelewa. Ufahamu wa binadamu ni mdogo sana ni sawa na mtu atafute chombo cha kuhamisha Bahari Kwa kuyateka maji take ndani ya chombo hicho. Tutaweza kuleta vyombo vyote na kuvijaza halafu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

    Usinuingize Yesu kwenye haya, wapinge wanadanu lakini usitukane matukufu usioyajua.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni maandishi tata, tafsiri tata au kitabu ndo tata? wasomi tusaidieni kwa ufafanuzi

    Tupe reference ya hoja yako, kwamba haikuwa siki (vinegar), ni mwana zuoni gani anayesema kama wewe?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni maandishi tata, tafsiri tata au kitabu ndo tata? wasomi tusaidieni kwa ufafanuzi

    Sijui hoja yako ni ipi umepata majibu yaliyoshiba ila bado una maswali, uliza maswali kinagaubaga ili upate majibu kama haya tuliyokupa hayakuridhishi. Ndio maana mahakamani kuna "cross examination". Hoja ya Biblia ni kuwa Yesu alikufa msalabani baada ya Wayahudi kumkataa, gavana wa Kirumi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni maandishi tata, tafsiri tata au kitabu ndo tata? wasomi tusaidieni kwa ufafanuzi

    Rafiki ni lini vinegar ikawa sumu ya kuua? Halafu hayo maandiko yanasema alikunywa au aliikataa? Kwa hiyo ukisema "Jesus died of poison" hiyo ni yako, ni stori ya kijiweni ambayo haipo kwenye maandiko na hakuna mwana zuoni anaye tafsiri hivyo Hii ni kukiuka kanuni moja muhimu ya kutafsiri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi waandishi na wanasheria waliokuwa wanamzongazonga Yesu kwa Maswali kitaaluma ni sawa na hawa akina Balile and Pascal?

    Mkuu mbatizaji, hawa hawakuwa "lawyers" ila walikuwa wataalam wa Torati ya Musa (Torah), waliitwa pia waandishi. Kazi zao kuu ni kutafsiri sheria kwa waumini ili waweze kufuata Torati bila kukosea, kazi ya pili inafanana na jina la pili "waandishi". Kwa vile siku zile hakukuwa na typewriters...
Back
Top Bottom