Tukubaliane kwanza morrison ni mchezaji mbovu??? pili simba na yanga wangekaa mezani biashara ya morrison ingefanyika?? usihukumu kitu bila kukiangalia kwa pande zote
kwahiyo ushamba wa akina bocco upo wap?? hamjijui kama nyie ndo washamba??? mashabiki wote wa man united saiv wanamtaja sancho huo nao ni ushamba??? fikilini kabla ya kukosoa au mnahisi wachezaji waliopo simba hawapendwi bac morrison anapendwa sanaa?? Sio hivyo ila ni kama tajili tu anapesa...
Kwa wakulima wa mahindi naskia kunauwezekano wakuzalisha gunia 15-20 kwa hekari ....je? Ni vitu gani vinaweza kunifanya nifikishe malengo ya kuzalisha idadi hiyo ya mahindi kwa kila hekari ntakayolima??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.