Makubwa akivuliwa nguo hasimami huchutama Dunia imekupa unachostahili kwa sasa karibu kutulia kabla hujachukua maamuzi ya kukopa.
Usihadaike na stori za waliofanikiwa kama umeshauchukua mkopo uweke kwenye lakini ya voda na uuwekeze kwa mwezi utapata faida hata kidogo huku unafanya research ya...
Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania.
Kwa sasa mgogoro huu upo katika hali nzuri ya mapatano ya kufunguliwq upya kwa njia kuu ya Biashara na tayari uchumi wa Dunia...
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza.
Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.