Recent content by Mh370

  1. M

    Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

    Ungesikiliza Tawasifu iliyosomwa na Prof.Cyiriacus Stanslaus Binamungu (Phd) ungepata jawabu la kwa nini Mama katunukiwa Shahada ya uzamivu ya heshima👍👍🤣
  2. M

    Prof. Tibaijuka: Kwa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kujenga ghorofa Kariakoo!

    Badala ya kuhamasisha uokoaji,amekalia kukosoa wakati alikuwa waziri husika,ni unafiki.hivi anajua bei ya plot kariakoo, utanunua viwanja vingapi na kwa bei gani ili uweze kupata lowdensity na uwekezaji gani utakaorudisha uwekezaji huo.sometimes tusiwe wajuaji against uhalisia, Manhatan...
  3. M

    PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao

    Afadhali baada ya mkwara juzi mmejielewa kuwa ni uchaguzi tu ndio unatoa haki ya kumuondoa kiongozi madarakani na si vinginevyo.hongereni kwa kubadili gia angani🤣🤣
  4. M

    Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    Clips na ushahidi wote anazo, Rais hawezi ongea hewani sema yeye mstaarabu yajaagiza zitoke live tungepata mshangao,kumbuka jpm alivyozitoa hadharani za kina kinana ,Nape na january nani angeamini?(tena alitoa kidogo tu) angetoa kila kitu si ni uhaini.intelijensia haiwezi kulala.tatizo tunaiga...
  5. M

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Kama ni kweli Nia ya kutoa zawadi ni nzuri ila kama kweli walikuwa na nia hiyo wangetafuta mradi mmoja wa barabara, ama hospitali wakajenga vizuri ikawa zawadi ambayo angeithamini na watanzania wangeithamini.huyu ni Rais wa nchi anahudumiwa na serikali, na kiusalama hapandi gari ama chopa...
  6. M

    Polisi zuieni Mkutano ulioitishwa na viongozi wa Yanga waliovuliwa uongozi na Mahakama, hawatambuliki kama viongozi halali

    Makolo acheni ushabiki, huko kwenu ndio katiba imesiginwa kabisa,🤣🤣,mtu mmoja anaamua lolote hata bila ridhaa ya wenye chama😡 mara kampuni mara katiba
  7. M

    Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Mchechu ni husiness minded bravo, hawa wanatakiwa wapewe mabasi ya mkopo ili wawe na ari ya kutoa huduma nzuri na efficient kwani kuna machungu ya marejesho,hii mambo serikali inafanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu bado iwape mtaji,bado vitendea kazi , ndio inaleta inefficiency na taasisi...
  8. M

    Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

    Nafkiri tuache kuwa na dhana ya udini, au ubaguzi wa aina yoyote always anapoteuliwa mtu angalia weledi na ujuzi wake kwenye taasisi husika, huyu mteule wa hii nafasi kubwa na nyeti kwa uchache ni mjuvi katika uwanda wake wa ujasusi, pia ni mwandamizi, na zaidi ni mjanja na ni mtoto wa mjini...
  9. M

    Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

    Nafkiri DC hana shida wala tatizo na elimu ya dini kutolewa kwa vijana, kwani ni jambo jema,yeye amejikita katika mazingira mabaya katika eneo husika kwa watoto husika,pia kituo kutokusajiliwa na serikali kukaguliwa wala kufahamika hata na Sheikh wa Mkoa ili kukidhi vigezo, hata Sheikh mwenyewe...
  10. M

    Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Hii ni bajeti ya Tarura mkoa mzima ,kwa zile barabara za changarawe😡😡 huyu ndio mhujumu uchumi sasa, sio zile kesi nyingine zilikuwa za kukomoana kipindi kile🤣🤣 tungetegemea huyu awe kisutu au korti ya mafisadi.
  11. M

    Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

    Tatizo la sisi binadamu ukiwa na tabia fulani toka utoto, labda kupenda sana videmu, ulevi etc hata ukiteuliwa kuwa nani , utajibana ila hutaweza kuhimili, na kujikuta unaleta fedheha ambayo hata wenzako wanashindwa kukusitiri . Kwa mfano ile tu hali ya Mh kuwepo bar na kuingia na kitoto kwenye...
  12. M

    Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini

    Huyu Eng. angeswekwa ndani tu , kwa kuhujumu wananchi na kupokea mshahara bila kujua majukumu yake😡😡 pia tujue elimu yake maana anaonekana hajui hata majukumu yake.inasikitisha sana,hata bodi inatakiwa uvunjwe, tanki la ltrs milioni 40 halina hata tone la maji👹
  13. M

    Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

    Siyo 787 ni 737-9 max, huwa anaitumia kama anasafiri na delegation kubwa, kwani G550 ni private jet yake inayombeba yeye na wasaidizi wake muhimu tu.
Back
Top Bottom