Recent content by MGUNDULWA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Tuwasiliane through 0766180287
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara hewa yaligharimu taifa-Mwigulu

    Kama issue hii ni ya kweli basi watanzania Tunahali ngumu sana kuhusu wizi wa fedha kupitia mishahara hewa hiyo ya Tsh 40bn/=,je,vyombo vya kudhibiti wizi huo viko wapi? Wizi wa fedha za umma kupitia mishahara isiyo na watumishi Halisi ni HATARI, chukua hatua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na azimio la arusha

    Ni vema katiba yetu mpya izingatie Mifumo ya Azimio la Arusha hasa Kipengele cha KUTAIFISHA MALI KUTOKA KWA WATU WASIOWAAMINIFU AMBAO WAMEJILIMBIKIZIA MALI NYINGI ISIVYO HALALI(illegaly Obtained Properties).KATIBA IZINGATIE MFUMO WA USAWA...
Back
Top Bottom