jaman ndomaana huku napapendaga sana,na nnashukuru Kahela kameongezeka,ni laki 3 kamili nataka nijiumize kidogo,hapo nimeona kuna LUMIA 520 na 620,nipen ufahamu zaidi wakuu na hyo bei nilonayo kama itatosha,maana 2kijaaliwa uzima mwisho wa mwez huu..NAWASHKURU SANA KWA KUTOA ELIMU NZURI,.Respect!!