Kwa nchi hii Tanzania,inayo fwata misingi mizuri iliyo wekwa na waasisi wetu wa Taifa hili,Mwalimu J.k Nyerere n Abeid Karume, Amani na mshikamano ndio ngao yetu,huo upumbavu wa maandamano kamwe hautafanyika,sababu wananchi wanaenzi misingi hiyo.
Kuna baadhi ya watanzania wanafiki sana,serikali ikijitahidi kila hali na mali ya kufanya jambo jema katika kuwamata wanadhihakiwa,kuna mda jifunzr ku appriciate!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.